Nenda kwa yaliyomo

Wikimedia Commons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 01:17, 16 Septemba 2022 na Hussein m mmbaga (majadiliano | michango) (→‎Picha Bora Katika Wikimedia Commons)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Wikimedia Commons
Wikimedia Commons

Wikimedia Commons (pia huitwa "Wikicommons") ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo.

Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote.

Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation.

Picha Bora Katika Mradi Wa Wikimedia Commons

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: